Trader Uswahilini
Trader Uswahilini

Trader Uswahilini

Karibu ujifundishe kuzisoma soko za hisa au sarafu za mtandaoni kwa kutumia uchambuzi wa kiufundi. Uchambuzi kwa kuzisoma chati za masoko kiufundi utakusaidia kuelewa bei za sarafu zinaelekea wapi ukizingatia uchambuzi chanya kupitia vyombo vya habari na matukio mengine. Masomo haya ni kwa wale ambao ni wageni kwenye hii biashara. Tutajitahidi kuwapa siri zote zilizopo ili uweze kufanikisha malengo yako kama mtaalam wa kiufundi kwenye kuuza na kununua sarafu aina zote.


Discovered a Highly Profitable Crypto Futures trading strategy setup!

9 Jan 2023 1 minute read 0 comments Kebwesi

Hi Guys, It has been a while since I last posted here. And during this period, a lot has happened. As I've always had an interest in trading, and have traded for quite a while, made money, lost money, even lost other people's money. But we never give...

Ijue Tradingview - Sehemu ya Kwanza

9 Apr 2021 1 minute read 0 comments Kebwesi

Kama upo serious kutaka kuingia kwenye biashara hii ya kuuza na kununua sarafu za kimtandao, lazima uwe na zana tofauti tofauti. Zana mojawapo muhimu sana ni tradingview. Tradingview inakupa chati aina nyingi sana, kutokana na data za masoko tofauti...

Chati za sarafu - Utangulizi

8 Apr 2021 1 minute read 0 comments Kebwesi

  Ukiwa mgeni kwenye hii biashara ya kuuza na kununua sarafu mtandaoni, utakutana na michoro kama hii ifuatayo hapa chini ambayo utaikuta kwenye mitandao kama cryptowat.ch au tradingview.com ambamo nitakushauri uweze kufungua akaunti yako mwenyewe kw...